Re-upload: Tumsaidie Luwi | Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa Kiswahili
Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo!
Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya Akili and Me inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule!
Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia:
https://www.ubongokids.com
https://www.facebook.com/ubongokids/
Created by Ubongo, the Tanzanian social enterprise that entertains kids to learn and love learning!
https://www.ubongo.org
Made possible by the Human Development Innovation Fund, funded by UKAid.
Видео Re-upload: Tumsaidie Luwi | Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa Kiswahili канала Ubongo Kids Kiswahili

Показать
Комментарии отсутствуют
Информация о видео
Другие видео канала
Webisode 61: Ushirikiano! | Episode Nzima ya Ubongo Kids | Hadithi za KiswahiliRe-upload: Twende Kuogelea | Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa KiswahiliUbongo Kids Webisode 39 - Kuhesabu kwa Kuruka | Season 3 Ubongo KidsEpisode 5 Bora za Ubongo Kids Msimu wa Tatu | Katuni za Elimu kwa KiswahiliRe-upload: Jaribu Zabibu | Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa KiswahiliUbongo Kids Webisode 29 - Upweke Unauma - Uzito na UjazoAkili anapenda Herufi J | Akili and Me | Katuni za Elimu kwa WatotoAkili anaipenda herufi A! | Akili and Me | Katuni za Elimu kwa WatotoUbongo Kids Webisode 33 | Mechi Mwilini - Mifumo ya MwiliTufike Pamoja | Ubongo Kids Utu: Uwajibikaji na Ushirikiano wa Kijamii | Katuni za KiswahiliRe-upload: Olimpiki Yetu | Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa KiswahiliUbongo Kids Webisode 40 - Watoto kwa Nishati Safi | Elimika na Ubongo Kids + European UnionUbongo Kids Webisode 30 - Rafiki wa Macho - MwangaKibena! Kiduchu! Amani! | Wasichana wa Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa KiswahiliAkili anapenda Herufi F | Akili and Me | Katuni za Elimu kwa WatotoRe-upload: Miraba Mingapi | Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa KiswahiliUbongo Kids Webisode 43 - Mfumo wa Jua | Katuni za KiswahiliVideo za Michezo | Burudika na Ubongo Kids | Hadithi za Watoto kwa KiswahiliUbongo Kids Webisode 28 - Siri ya Hazina - Urefu na UmbaliNgedere Mjanja! | Video Bora za Ubongo Kids | Katuni za Kiswahili