Загрузка страницы

Episode 5 Bora za Ubongo Kids Msimu wa Tatu | Katuni za Elimu kwa Kiswahili

Angalia episode bora 5 kutoka msimu wa tatu wa Ubongo Kids. Je ni episode ipi uliyoipenda zaidi wewe?

Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani!

Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo!

Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi!

Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule!

Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia: http://www.ubongokids.com

Видео Episode 5 Bora za Ubongo Kids Msimu wa Tatu | Katuni za Elimu kwa Kiswahili канала Ubongo Kids Kiswahili
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
16 марта 2018 г. 19:08:05
01:46:26
Другие видео канала
4 Character Strengths You Need to Succeed | Ubongo Kids Episode Compilation4 Character Strengths You Need to Succeed | Ubongo Kids Episode CompilationLearn Swahili and English with Akili and Me | Bilingual Learning for PreschoolersLearn Swahili and English with Akili and Me | Bilingual Learning for PreschoolersAkili Loves Fruit!! | Compilations from Akili and Me | African Educational CartoonsAkili Loves Fruit!! | Compilations from Akili and Me | African Educational CartoonsFisher Price Little People | Trucks and Planes Adventures! | Fun Compilation | Kids MoviesFisher Price Little People | Trucks and Planes Adventures! | Fun Compilation | Kids MoviesUbongo Kids Webisode 37 - Miraba Mingapi | Swahili CartoonUbongo Kids Webisode 37 - Miraba Mingapi | Swahili CartoonMeet Letter H! | Akili and Me | African Preschool CartoonsMeet Letter H! | Akili and Me | African Preschool CartoonsWakati ni Mali | Episode Nzima ya Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa KiswahiliWakati ni Mali | Episode Nzima ya Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa KiswahiliWebisode 54: Ridhaa Yangu! | Ubongo Kids + European Union | Katuni za ElimuWebisode 54: Ridhaa Yangu! | Ubongo Kids + European Union | Katuni za ElimuTufike Pamoja | Ubongo Kids Utu: Uwajibikaji na Ushirikiano wa Kijamii | Katuni za KiswahiliTufike Pamoja | Ubongo Kids Utu: Uwajibikaji na Ushirikiano wa Kijamii | Katuni za KiswahiliTime to Count! One, two, three! - Educational Songs from Akili and MeTime to Count! One, two, three! - Educational Songs from Akili and MeWebisode 61: Ushirikiano! | Episode Nzima ya Ubongo Kids | Hadithi za KiswahiliWebisode 61: Ushirikiano! | Episode Nzima ya Ubongo Kids | Hadithi za KiswahiliNyani Alianza Kulia! | Jifunze Kuhusu Hisia na Akili and Me | Katuni za Elimu kwa WatotoNyani Alianza Kulia! | Jifunze Kuhusu Hisia na Akili and Me | Katuni za Elimu kwa WatotoNgedere Mjanja! | Video Bora za Ubongo Kids | Katuni za KiswahiliNgedere Mjanja! | Video Bora za Ubongo Kids | Katuni za KiswahiliMeet Letter U! | Learn the Alphabet with Akili | Cartoons from Africa for PreschoolersMeet Letter U! | Learn the Alphabet with Akili | Cartoons from Africa for PreschoolersUbongo Kids Webisode 39 - Kuhesabu kwa Kuruka | Season 3 Ubongo KidsUbongo Kids Webisode 39 - Kuhesabu kwa Kuruka | Season 3 Ubongo KidsUbongo  Kids Webisode 43 - Mfumo wa Jua | Katuni za KiswahiliUbongo Kids Webisode 43 - Mfumo wa Jua | Katuni za KiswahiliAlphabet and Letter Songs Compilation | 35 min. of Phonics Songs from Akili and MeAlphabet and Letter Songs Compilation | 35 min. of Phonics Songs from Akili and MeUbongo Kids | Fumbua Fumbo - Udadisi | Katuni za KiswahiliUbongo Kids | Fumbua Fumbo - Udadisi | Katuni za KiswahiliRe-upload: Miraba Mingapi | Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa KiswahiliRe-upload: Miraba Mingapi | Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa KiswahiliVideo za Michezo | Burudika na Ubongo Kids | Hadithi za Watoto kwa KiswahiliVideo za Michezo | Burudika na Ubongo Kids | Hadithi za Watoto kwa Kiswahili
Яндекс.Метрика