Загрузка страницы

Ubongo Kids Webisode 43 - Mfumo wa Jua | Katuni za Kiswahili

Jifunze kuhusu mfumo wa jua na masomo mengine ya sayansi kupitia katuni ya Ubongo Kids!

Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA!

This video was made possible by a grant from the Goodall Foundation. http://www.goodall-foundation.org.uk/

Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani!

Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo!

Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi.

Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi!

Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule!

Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia: http://www.ubongokids.com

Видео Ubongo Kids Webisode 43 - Mfumo wa Jua | Katuni za Kiswahili канала Ubongo Kids Kiswahili
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
20 октября 2017 г. 21:15:03
00:30:02
Другие видео канала
Linda data zako binafsi! | Darasani na Ubongo Kids | Katuni za KiswahiliLinda data zako binafsi! | Darasani na Ubongo Kids | Katuni za KiswahiliUsalama Mtandaoni | Facebook & Ubongo PSA |Usalama Mtandaoni | Facebook & Ubongo PSA |African Language Song Compilation! | Ubongo Kids | Educational Cartoons from AfricaAfrican Language Song Compilation! | Ubongo Kids | Educational Cartoons from AfricaUbongo Kids - Theme Song Teaser TrailerUbongo Kids - Theme Song Teaser TrailerLUGHA TATU!! Miraba Mingapi?!! | Imba na Ubongo Kids | Katuni za KiswahiliLUGHA TATU!! Miraba Mingapi?!! | Imba na Ubongo Kids | Katuni za KiswahiliKokotoa Yapata Umeme! | Imba na Ubongo Kids | Katuni za KiswahiliKokotoa Yapata Umeme! | Imba na Ubongo Kids | Katuni za KiswahiliJifunze kuchora grafu! | Darasani na Ubongo Kids | Katuni za KiswahiliJifunze kuchora grafu! | Darasani na Ubongo Kids | Katuni za KiswahiliMakundi ya Wanyama | Imba na Ubongo Kids | Katuni za KiswahiliMakundi ya Wanyama | Imba na Ubongo Kids | Katuni za KiswahiliUnaweka Wapi Akiba Yako? | Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa Kiswahili with English SubtitlesUnaweka Wapi Akiba Yako? | Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa Kiswahili with English SubtitlesAmplify + Ubongo Kids - Hopes and DreamsAmplify + Ubongo Kids - Hopes and DreamsKujifunza maadili ya mahali ni nini | Kuhesabu idadi kubwa #countingto1million #arithmeticKujifunza maadili ya mahali ni nini | Kuhesabu idadi kubwa #countingto1million #arithmeticUkarimu ni Furaha! | Imba na Ubongo Kids | Katuni za KiswahiliUkarimu ni Furaha! | Imba na Ubongo Kids | Katuni za KiswahiliKiswahili na Kiingereza! Kokotoa Yapata Umeme! | Imba na Ubongo Kids | Katuni za KiswahiliKiswahili na Kiingereza! Kokotoa Yapata Umeme! | Imba na Ubongo Kids | Katuni za KiswahiliTangazo Maalum! | Ubongo Kids | Katuni za watotoTangazo Maalum! | Ubongo Kids | Katuni za watotoKikuyu Song | Ubongo Kids | Educational Cartoons from AfricaKikuyu Song | Ubongo Kids | Educational Cartoons from AfricaWimbo "Usanisinuru!" | Utu: Kujithamini na Kujiamini | Katuni za KiswahiliWimbo "Usanisinuru!" | Utu: Kujithamini na Kujiamini | Katuni za KiswahiliLUGHA TATU (Kiswahili, Kiingereza, Kifaransa)!!! Decimals Are Not Whole | Imba na Ubongo KidsLUGHA TATU (Kiswahili, Kiingereza, Kifaransa)!!! Decimals Are Not Whole | Imba na Ubongo KidsSoksi ya mbele ni nini | Kujifunza kuhusu vyombo vya hali ya hewa  #africaneducationalcartoonsSoksi ya mbele ni nini | Kujifunza kuhusu vyombo vya hali ya hewa #africaneducationalcartoonsKilimo Chetu (Tunajivunia) | Imba na Ubongo Kids | Katuni za KiswahiliKilimo Chetu (Tunajivunia) | Imba na Ubongo Kids | Katuni za KiswahiliVideo Bora za Shuleni! Ni Raha Kuwa Darasani... | Ubongo Kids | Hadithi za KiswahiliVideo Bora za Shuleni! Ni Raha Kuwa Darasani... | Ubongo Kids | Hadithi za KiswahiliTeknolojia ya Habari na Mawasiliano | Hatua 5 za kukuongoza unapojifunza na ICT  #elimuyawatotoTeknolojia ya Habari na Mawasiliano | Hatua 5 za kukuongoza unapojifunza na ICT #elimuyawatoto
Яндекс.Метрика