Kiswahili na Kiingereza! Kokotoa Yapata Umeme! | Imba na Ubongo Kids | Katuni za Kiswahili
Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo!
Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya Akili and Me inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule!
Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia:
https://www.ubongokids.com
https://www.facebook.com/ubongokids/
Created by Ubongo, the Tanzanian social enterprise that entertains kids to learn and love learning!
https://www.ubongo.org
Made possible by the Human Development Innovation Fund, funded by UKAid.
Видео Kiswahili na Kiingereza! Kokotoa Yapata Umeme! | Imba na Ubongo Kids | Katuni za Kiswahili канала Ubongo Kids Kiswahili

Показать
Комментарии отсутствуют
Информация о видео
Другие видео канала
Linda data zako binafsi! | Darasani na Ubongo Kids | Katuni za KiswahiliUsalama Mtandaoni | Facebook & Ubongo PSA |African Language Song Compilation! | Ubongo Kids | Educational Cartoons from AfricaUbongo Kids - Theme Song Teaser TrailerKokotoa Yapata Umeme! | Imba na Ubongo Kids | Katuni za KiswahiliMakundi ya Wanyama | Imba na Ubongo Kids | Katuni za KiswahiliUnaweka Wapi Akiba Yako? | Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa Kiswahili with English SubtitlesAmplify + Ubongo Kids - Hopes and DreamsUkarimu ni Furaha! | Imba na Ubongo Kids | Katuni za KiswahiliTangazo Maalum! | Ubongo Kids | Katuni za watotoLUGHA TATU (Kiswahili, Kiingereza, Kifaransa)!!! Decimals Are Not Whole | Imba na Ubongo KidsWimbo "Usanisinuru!" | Utu: Kujithamini na Kujiamini | Katuni za KiswahiliEast African Legislative Assembly + Ubongo Kids - Wimbo wa EALA! (Kiswahili)Kikuyu Song | Gwaka na kĩgĩna | Ubongo Kids | Educational Cartoons from AfricaLuo Cartoon!! | Bedo kod chenro | Ubongo Kids | Educational Cartoons from AfricaJifunze maana ya robo! | Darasani na Ubongo Kids | Katuni za KiswahiliKiswahili na Kiingereza! Hatua za Kufikia Amani! | Imba na Ubongo Kids | Katuni za KiswahiliLUGHA TATU!!! Tuna Malengo | Imba na Ubongo Kids | Katuni za KiswahiliUbongo Kids - TV Promo - Tanzanian EdutainmentNishati chafu inaathiri vipi dunia? | Darasani na Ubongo Kids | Katuni za Kiswahili