Загрузка страницы

Video za Michezo | Burudika na Ubongo Kids | Hadithi za Watoto kwa Kiswahili

Michezo ni muhimu kwa ajili ya afya na akili ya vijana. Burudika na furahia michezo na katuni ya Ubongo Kids.

Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA!

This video was made possible by a grant from the Goodall Foundation. http://www.goodall-foundation.org.uk/

Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani!

Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo!

Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi.

Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi!

Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule!

Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia: http://www.ubongokids.com

Видео Video za Michezo | Burudika na Ubongo Kids | Hadithi za Watoto kwa Kiswahili канала Ubongo Kids Kiswahili
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
8 сентября 2017 г. 2:36:14
00:29:25
Другие видео канала
Episode 5 Bora za Ubongo Kids Msimu wa Tatu | Katuni za Elimu kwa KiswahiliEpisode 5 Bora za Ubongo Kids Msimu wa Tatu | Katuni za Elimu kwa KiswahiliUbongo Kids Webisode 39 - Kuhesabu kwa Kuruka | Season 3 Ubongo KidsUbongo Kids Webisode 39 - Kuhesabu kwa Kuruka | Season 3 Ubongo KidsFisher Price Little People | Trucks and Planes Adventures! | Fun Compilation | Kids MoviesFisher Price Little People | Trucks and Planes Adventures! | Fun Compilation | Kids MoviesMvuvi na mke wake | Hadithi za Kiswahili | Swahili Fairy TalesMvuvi na mke wake | Hadithi za Kiswahili | Swahili Fairy TalesTuendeshe Baiskeli! | Nyimbo za Akili and Me | Katuni za KuelimishaTuendeshe Baiskeli! | Nyimbo za Akili and Me | Katuni za Kuelimishakaranga za loco | video kwa watoto | funny katuni | Loco Nuts Show | Cartoon Videos | Kids Fun Videokaranga za loco | video kwa watoto | funny katuni | Loco Nuts Show | Cartoon Videos | Kids Fun VideoUbongo Kids Webisode 29 - Upweke Unauma - Uzito na UjazoUbongo Kids Webisode 29 - Upweke Unauma - Uzito na UjazoEPISODE 50: Animal Welfare | Ubongo Kids | African Educational CartoonsEPISODE 50: Animal Welfare | Ubongo Kids | African Educational CartoonsChiku & Katope - Episode 1 | Hadithi za Watoto na Mazingira | African Stories about the EnvironmentChiku & Katope - Episode 1 | Hadithi za Watoto na Mazingira | African Stories about the EnvironmentViatu vyekundu | Hadithi za Kiswahili | Katuni za Kiswahili | Hadithi za Watoto| Swahili Fairy TalesViatu vyekundu | Hadithi za Kiswahili | Katuni za Kiswahili | Hadithi za Watoto| Swahili Fairy TalesThumbelina in Swahili | Hadithi za Kiswahili | Katuni za Kiswahili | Swahili Fairy TalesThumbelina in Swahili | Hadithi za Kiswahili | Katuni za Kiswahili | Swahili Fairy TalesNaona Tunu | Ubongo Kids Utu: Watuunganisha Sote | Katuni za KiswahiliNaona Tunu | Ubongo Kids Utu: Watuunganisha Sote | Katuni za KiswahiliNyani Alianza Kulia! | Jifunze Kuhusu Hisia na Akili and Me | Katuni za Elimu kwa WatotoNyani Alianza Kulia! | Jifunze Kuhusu Hisia na Akili and Me | Katuni za Elimu kwa WatotoUbongo Kids Webisode 30 - Rafiki wa Macho - MwangaUbongo Kids Webisode 30 - Rafiki wa Macho - MwangaWATOTO WANGU WEH | Kiswahili Songs for Preschoolers | Na nyimbo nyingi kwa watoto | Nyimbo za KitotoWATOTO WANGU WEH | Kiswahili Songs for Preschoolers | Na nyimbo nyingi kwa watoto | Nyimbo za KitotoUbongo  Kids Webisode 43 - Mfumo wa Jua | Katuni za KiswahiliUbongo Kids Webisode 43 - Mfumo wa Jua | Katuni za KiswahiliWebisode 61: Ushirikiano! | Episode Nzima ya Ubongo Kids | Hadithi za KiswahiliWebisode 61: Ushirikiano! | Episode Nzima ya Ubongo Kids | Hadithi za KiswahiliHADITHI: Akili Anajifunza Jinsi ya Kuwa Msafi! | Akili and Me | Katuni za KiswahiliHADITHI: Akili Anajifunza Jinsi ya Kuwa Msafi! | Akili and Me | Katuni za KiswahiliUbongo Kids Webisode 37 - Miraba Mingapi | Swahili CartoonUbongo Kids Webisode 37 - Miraba Mingapi | Swahili CartoonMsichana Mvivu na Msichana Mwenye bidii | Hadithi za Kiswahili | Swahili Fairy TalesMsichana Mvivu na Msichana Mwenye bidii | Hadithi za Kiswahili | Swahili Fairy Tales
Яндекс.Метрика