Загрузка страницы

WEBISODE 63: Naona Tunu | Ubongo Kids Utu: Watuunganisha Sote | Katuni za Kiswahili

Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo!

Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya Akili and Me inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule!

Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia:

https://www.ubongokids.com
https://www.facebook.com/ubongokids/

Created by Ubongo, the Tanzanian social enterprise that entertains kids to learn and love learning!

https://www.ubongo.org

Made possible by the Human Development Innovation Fund, funded by UKAid.

Видео WEBISODE 63: Naona Tunu | Ubongo Kids Utu: Watuunganisha Sote | Katuni za Kiswahili канала Ubongo Kids Kiswahili
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
28 декабря 2020 г. 14:00:11
00:29:57
Другие видео канала
Kibena! Kiduchu! Amani! | Wasichana wa Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa KiswahiliKibena! Kiduchu! Amani! | Wasichana wa Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa KiswahiliWEBISODE 64: Tufike Pamoja |  Utu: Uwajibikaji na Ushirikiano wa Kijamii | Katuni za KiswahiliWEBISODE 64: Tufike Pamoja | Utu: Uwajibikaji na Ushirikiano wa Kijamii | Katuni za KiswahiliUbongo Kids Webisode 39 - Kuhesabu kwa Kuruka | Season 3 Ubongo KidsUbongo Kids Webisode 39 - Kuhesabu kwa Kuruka | Season 3 Ubongo KidsLearn Swahili and English with Akili and Me | Bilingual Learning for PreschoolersLearn Swahili and English with Akili and Me | Bilingual Learning for PreschoolersThe Shapes Song | Learn Shapes | Crayons Nursery Rhymes Songs For Kids | Baby SongsThe Shapes Song | Learn Shapes | Crayons Nursery Rhymes Songs For Kids | Baby SongsWATOTO WANGU WEH | Kiswahili Songs for Preschoolers | Na nyimbo nyingi kwa watoto | Nyimbo za KitotoWATOTO WANGU WEH | Kiswahili Songs for Preschoolers | Na nyimbo nyingi kwa watoto | Nyimbo za KitotoWebisode 62: Tunalisha Ulimwengu! | Episode Nzima ya Ubongo Kids | Hadithi za KiswahiliWebisode 62: Tunalisha Ulimwengu! | Episode Nzima ya Ubongo Kids | Hadithi za KiswahiliWEBISODE 68: Usanisinuru ni nini? | Ubongo Kids Utu: Kujithamini na Kujiamini | Katuni za KiswahiliWEBISODE 68: Usanisinuru ni nini? | Ubongo Kids Utu: Kujithamini na Kujiamini | Katuni za KiswahiliNyimbo za Sayansi! | Ubongo Kids - elimu burudani wa watotoNyimbo za Sayansi! | Ubongo Kids - elimu burudani wa watotoIrabu Zetu a-e-i-o-u | LEARN SWAHILI VOWELS | Akili and Me - African CartoonsIrabu Zetu a-e-i-o-u | LEARN SWAHILI VOWELS | Akili and Me - African CartoonsUbongo Kids Webisode 29 - Upweke Unauma - Uzito na UjazoUbongo Kids Webisode 29 - Upweke Unauma - Uzito na UjazoWEBISODE 73: Mimi ni yule yule | Ubongo Kids Utu: Ujasiri | Katuni za KiswahiliWEBISODE 73: Mimi ni yule yule | Ubongo Kids Utu: Ujasiri | Katuni za KiswahiliEPISODE 31: Skip Counting! | Ubongo Kids | African Educational CartoonsEPISODE 31: Skip Counting! | Ubongo Kids | African Educational CartoonsNyimbo za Watoto | Kujitambulisha kwa Kiswahili, Kuhesabu na Zaidi | Akili and Me - LEARN SWAHILINyimbo za Watoto | Kujitambulisha kwa Kiswahili, Kuhesabu na Zaidi | Akili and Me - LEARN SWAHILIKipupwe cha milele | Eternal Winter in Swahili | Hadithi za Kiswahili | Swahili Fairy TalesKipupwe cha milele | Eternal Winter in Swahili | Hadithi za Kiswahili | Swahili Fairy TalesVideo za Michezo | Burudika na Ubongo Kids | Hadithi za Watoto kwa KiswahiliVideo za Michezo | Burudika na Ubongo Kids | Hadithi za Watoto kwa KiswahiliEpisode 5 Bora za Ubongo Kids Msimu wa Tatu | Katuni za Elimu kwa KiswahiliEpisode 5 Bora za Ubongo Kids Msimu wa Tatu | Katuni za Elimu kwa KiswahiliWEBISODE 69: Uliwahi kuona Tembo wa kijani? | Utu: Kujidhibiti | Katuni za KiswahiliWEBISODE 69: Uliwahi kuona Tembo wa kijani? | Utu: Kujidhibiti | Katuni za KiswahiliUbongo Kids Webisode 18 - Wakati ni Mali Part 2Ubongo Kids Webisode 18 - Wakati ni Mali Part 2Tuhesabu na Akili! | Akili and Me Katuni za Elimu Burudani | LEARN SWAHILI!Tuhesabu na Akili! | Akili and Me Katuni za Elimu Burudani | LEARN SWAHILI!
Яндекс.Метрика