Загрузка страницы

Nyimbo za Sayansi! | Ubongo Kids - elimu burudani wa watoto

Imba nyimbo za sayansi na wakina Mama Ndege, Anko T, Kibena, Kiduchu, Koba, Baraka na Amani! Jifunze kuhusu nishati ya sauti, mwanga, mwili, ukuaji, uzito na ujazo kupitia nyimbo za Ubongo Kids!

--

Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA!

Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani!

Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo!

Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi.

Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi!

Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule!

Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia: http://www.ubongokids.com

Видео Nyimbo za Sayansi! | Ubongo Kids - elimu burudani wa watoto канала Ubongo Kids Kiswahili
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
24 июня 2017 г. 9:00:03
00:16:13
Другие видео канала
Ubongo Kids Webisode 29 - Upweke Unauma - Uzito na UjazoUbongo Kids Webisode 29 - Upweke Unauma - Uzito na UjazoTime to Count! One, two, three! - Educational Songs from Akili and MeTime to Count! One, two, three! - Educational Songs from Akili and MeHadithi ya Sultan Mkongwe | Hadithi za Kiswahili | Swahili Fairy TalesHadithi ya Sultan Mkongwe | Hadithi za Kiswahili | Swahili Fairy TalesTabasamu na Kokotoa | Utu: Subira | Katuni za KiswahiliTabasamu na Kokotoa | Utu: Subira | Katuni za KiswahiliWebisode 52: Pata Kipato - Bidii Inalipa | Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa KiswahiliWebisode 52: Pata Kipato - Bidii Inalipa | Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa KiswahiliNyimbo za Watoto | Kujitambulisha kwa Kiswahili, Kuhesabu na Zaidi | Akili and Me - LEARN SWAHILINyimbo za Watoto | Kujitambulisha kwa Kiswahili, Kuhesabu na Zaidi | Akili and Me - LEARN SWAHILIMabata Madogo | Small Ducks Swim Nursery Rhyme in Swahili | Nyimbo za Watoto | Swahili Children SongMabata Madogo | Small Ducks Swim Nursery Rhyme in Swahili | Nyimbo za Watoto | Swahili Children SongMfalme Chura | Frog Prince | Katuni za Kiswahili | Hadithi za Watoto | Swahili Fairy TalesMfalme Chura | Frog Prince | Katuni za Kiswahili | Hadithi za Watoto | Swahili Fairy TalesAkili's Favourite Songs! | Akili and Me | Song CompilationAkili's Favourite Songs! | Akili and Me | Song CompilationWATOTO WANGU WEH | Kiswahili Songs for Preschoolers | Na nyimbo nyingi kwa watoto | Nyimbo za KitotoWATOTO WANGU WEH | Kiswahili Songs for Preschoolers | Na nyimbo nyingi kwa watoto | Nyimbo za KitotoHADITHI: Akili Anajifunza Jinsi ya Kuwa Msafi! | Akili and Me | Katuni za KiswahiliHADITHI: Akili Anajifunza Jinsi ya Kuwa Msafi! | Akili and Me | Katuni za KiswahiliAlphabet and Letter Songs Compilation | 35 min. of Phonics Songs from Akili and MeAlphabet and Letter Songs Compilation | 35 min. of Phonics Songs from Akili and MeUbongo Kids Webisode 30 - Rafiki wa Macho - MwangaUbongo Kids Webisode 30 - Rafiki wa Macho - MwangaWebisode 61: Ushirikiano! | Episode Nzima ya Ubongo Kids | Hadithi za KiswahiliWebisode 61: Ushirikiano! | Episode Nzima ya Ubongo Kids | Hadithi za KiswahiliCatherine na hatma yake  | Catherine and Her Destiny | Hadithi za Kiswahili | Swahili Fairy TalesCatherine na hatma yake | Catherine and Her Destiny | Hadithi za Kiswahili | Swahili Fairy TalesUbongo Kids Webisode 39 - Kuhesabu kwa Kuruka | Season 3 Ubongo KidsUbongo Kids Webisode 39 - Kuhesabu kwa Kuruka | Season 3 Ubongo KidsHappy Birthday Akili | 30 minute Singalong of African Kids' SongsHappy Birthday Akili | 30 minute Singalong of African Kids' SongsUsanisinuru ni nini? | Utu: Kujithamini na Kujiamini | Katuni za KiswahiliUsanisinuru ni nini? | Utu: Kujithamini na Kujiamini | Katuni za KiswahiliAkili Loves the Letter S! | Compilations from Akili and Me | African Educational CartoonsAkili Loves the Letter S! | Compilations from Akili and Me | African Educational CartoonsIrabu Zetu a-e-i-o-u | LEARN SWAHILI VOWELS | Akili and Me - African CartoonsIrabu Zetu a-e-i-o-u | LEARN SWAHILI VOWELS | Akili and Me - African Cartoons
Яндекс.Метрика