Загрузка страницы

Ubongo Kids Webisode 40 - Watoto kwa Nishati Safi | Elimika na Ubongo Kids + European Union

Jifunze kuhusu nishati safi na Ubongo Kids na European Union!

Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA!

Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani!

Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo!

Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi.

Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi!

Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule!

Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia: http://www.ubongokids.com

--

Watch "Kids for a Cleaner Future!" an Ubongo Kids special made in partnership with the European Union in Tanzania.

Learn about clean and dirty energy, climate change and much more!

The EU is committed to making the world a better place for all by helping to mitigate climate change. To achieve this we need everyone's help to fight against pollution and find new, cleaner sources of energy. You can help too! Pamoja Tunaweza.

To learn more about the EU in Tanzania look here: https://eeas.europa.eu/delegations/ta...

Ubongo Kids is an animated educational TV series produced in Tanzania, which helps kids find the fun in learning. Edutainment, made in Africa, for Africa. More about Ubongo Kids: http://ubongo.co/index.php/products/u...

Watch Ubongo Kids on TV:
TANZANIA: Sat. & Sun. at 9:30am on TBC1
KENYA: Sat. at 9am on Citizen TV Kenya
RWANDA: Sat. at 9am on RTV
UGANDA: Sat. at 9:30am on NTV Uganda
GHANA: Wed. at 4pm on GTV

Brought to you by Ubongo, the Tanzanian social enterprise that entertains kid to learn and love learning.

http://ubongokids.com
http://youtube.com/ubongokids
http://facebook.com/ubongokids
http://twitter.com/ubongotz

Видео Ubongo Kids Webisode 40 - Watoto kwa Nishati Safi | Elimika na Ubongo Kids + European Union канала Ubongo Kids Kiswahili
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
14 сентября 2017 г. 14:11:28
00:30:05
Другие видео канала
Ubongo Kids Webisode 39 - Kuhesabu kwa Kuruka | Season 3 Ubongo KidsUbongo Kids Webisode 39 - Kuhesabu kwa Kuruka | Season 3 Ubongo KidsNyani Alianza Kulia! | Jifunze Kuhusu Hisia na Akili and Me | Katuni za Elimu kwa WatotoNyani Alianza Kulia! | Jifunze Kuhusu Hisia na Akili and Me | Katuni za Elimu kwa WatotoChiku & Katope - Episode 1 | Hadithi za Watoto na Mazingira | African Stories about the EnvironmentChiku & Katope - Episode 1 | Hadithi za Watoto na Mazingira | African Stories about the EnvironmentEPISODE 49: Making Agriculture Cool Again | Ubongo Kids | African Educational CartoonsEPISODE 49: Making Agriculture Cool Again | Ubongo Kids | African Educational CartoonsFisher Price Little People | Trucks and Planes Adventures! | Fun Compilation | Kids MoviesFisher Price Little People | Trucks and Planes Adventures! | Fun Compilation | Kids MoviesTufike Pamoja | Ubongo Kids Utu: Uwajibikaji na Ushirikiano wa Kijamii | Katuni za KiswahiliTufike Pamoja | Ubongo Kids Utu: Uwajibikaji na Ushirikiano wa Kijamii | Katuni za KiswahiliWebisode 55: Haki za Kijinsia! | Ubongo Kids + European Union | Katuni za ElimuWebisode 55: Haki za Kijinsia! | Ubongo Kids + European Union | Katuni za ElimuUbongo  Kids Webisode 43 - Mfumo wa Jua | Katuni za KiswahiliUbongo Kids Webisode 43 - Mfumo wa Jua | Katuni za KiswahiliUbongo Kids Webisode 49 - Kutengeneza Msimbo | Katuni za Elimu kwa KiswahiliUbongo Kids Webisode 49 - Kutengeneza Msimbo | Katuni za Elimu kwa KiswahiliEpisode 5 Bora za Ubongo Kids Msimu wa Tatu | Katuni za Elimu kwa KiswahiliEpisode 5 Bora za Ubongo Kids Msimu wa Tatu | Katuni za Elimu kwa KiswahiliUbongo Kids Webisode 33 | Mechi Mwilini - Mifumo ya MwiliUbongo Kids Webisode 33 | Mechi Mwilini - Mifumo ya MwiliAkili na marafiki zake wanapanda ndege! | Hisia Zetu na Akili and Me | Katuni za Elimu kwa WatotoAkili na marafiki zake wanapanda ndege! | Hisia Zetu na Akili and Me | Katuni za Elimu kwa WatotoUbongo Kids Webisode 47 - Ustahimilivu | Katuni za Elimu kwa KiswahiliUbongo Kids Webisode 47 - Ustahimilivu | Katuni za Elimu kwa KiswahiliVideo za Michezo | Burudika na Ubongo Kids | Hadithi za Watoto kwa KiswahiliVideo za Michezo | Burudika na Ubongo Kids | Hadithi za Watoto kwa KiswahiliWadudu wa Kokotoa | Ubongo Kids | Katuni za KiswahiliWadudu wa Kokotoa | Ubongo Kids | Katuni za KiswahiliEPISODE 22: Giraffe Party! | Ubongo Kids | African Educational CartoonsEPISODE 22: Giraffe Party! | Ubongo Kids | African Educational CartoonsRe-upload: Miraba Mingapi | Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa KiswahiliRe-upload: Miraba Mingapi | Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa KiswahiliViatu vyekundu | Hadithi za Kiswahili | Katuni za Kiswahili | Hadithi za Watoto| Swahili Fairy TalesViatu vyekundu | Hadithi za Kiswahili | Katuni za Kiswahili | Hadithi za Watoto| Swahili Fairy TalesUbongo Kids Webisode 29 - Upweke Unauma - Uzito na UjazoUbongo Kids Webisode 29 - Upweke Unauma - Uzito na UjazoWATOTO WANGU WEH | Kiswahili Songs for Preschoolers | Na nyimbo nyingi kwa watoto | Nyimbo za KitotoWATOTO WANGU WEH | Kiswahili Songs for Preschoolers | Na nyimbo nyingi kwa watoto | Nyimbo za Kitoto
Яндекс.Метрика