MPIGIENI MUNGU KELELE ZA SHANGWE (OFFICIAL VIDEO)
Wimbo uliotungwa naye Felician Albert Nyundo (FAN) +... Wimbo ulioimbwa na kujulikana na wengi miaka kadhaa iliyopita na hata sasa bado unapendwa na walio wengi. Kwaya ya Mtakatifu Boniface Askofu na Shahidi kutoka Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu, Sombetini, Jimbo kuu Katoliki la Arusha, wanatushirikisha wimbo huu na wanatualika tumwimbie Mungu na tumpigie Kelele za shangwe.Ni Maneno Matamu kabisa kwa anayependa kumsifu Mungu. Tumwimbie Mungu wetu, naye ata Mimina neema zake katika maisha yetu. Ni neema ya Mungu inayotufanya tuwe tulivyo hivyo tushiriki kikamilifu katika kumwimbia. Bwana unibadili niweze kuacha yote nikutumikie wewe, niweze kukuimbia wewe wimbo ulio bora, niweze kuwa miongoni mwa wateule wako.Karibuni sasa muweze kusikiliza na kutazama.Kwa watakaopenda kuwasiliana na kwaya hii, tumieni namba +255 754 628 685 au +255 754 759 428#kwayakatoliki #mimina neema #bwanaunibadili #manenomatamu
Видео MPIGIENI MUNGU KELELE ZA SHANGWE (OFFICIAL VIDEO) канала RAJO PRODUCTIONS
Видео MPIGIENI MUNGU KELELE ZA SHANGWE (OFFICIAL VIDEO) канала RAJO PRODUCTIONS
Показать
Комментарии отсутствуют
Информация о видео
Другие видео канала
MIMINA NEEMA_OFFICIAL VIDEOHuyu Ni Nani - St. Joseph's Choir || KMRM Liturgical Dancers|| Kwaya Mt. Romano MtunziMPIGIE MUNGU KELELE ZA SHANGWE - Khaki Media TeamMBINGU ZILIFANYIKA_Kwaya ya Mt.Agustino_Manundu KorogweSasa Wakati Umefika | Basil A. Lukando | Sauti Tamu Melodies | wa Matoleo | SKIZA 7482439(Lyrics) MPIGIENI MUNGU KELELE ZA SHANGWEINAKUWAJE TUNASIKIA MANENO//WIMBO WA PENTEKOSTE(Official Music Video) SMS SKIZA 5964661 to 811ASANTE YESUMt. Kizito Makuburi - Wewe ni Mungu (Official Music Video)Nikupe Nini Mungu Wangu | B A Lukando | Sauti Tamu Melodies |Sadaka/Matoleo ~Skiza 7482438NAKUKARIBISHA YESU (Official Video)BWANA UNIBADILI_ Kwaya ya Mt.Maria Goreth_Chuo kikuu- Ushirika - MoshiUtukuzwe ewe Baba Mungu | Sauti Tamu Melodies | wimbo wa Pasaka, shukrani /matoleo (Skiza 7482441)NENA BWANA_OFFICIAL VIDEOWOSIA -( 4k Official Video ) KWAYA YA MT. DAUDI - MUTUKULA JIMBO KATOLIKI BUKOBANEEMA YA MUNGUYESU KRISTO NI MFALMENAMPENDA MUNGU ( Official video ) KWAYA YA MT. MARIA, PAROKIA YA MT. MARIA NGUDU KWIMBA - MWANZANYUMBANI MWA BWANA