Загрузка страницы

MBINGU ZILIFANYIKA_Kwaya ya Mt.Agustino_Manundu Korogwe

Kwa neno la Mungu Mbingu zilifanyika. Ni maneno yanayoimbwa na kwaya hii ya Mt. Agustino kutoka Manundu Korogwe, Jimbo Katoliki la Tanga.Wimbo huu ni Utunzi wake Mussa Charles Mabogo, na Umerekodiwa katika Studio za RAJO Productions (Audio & Video)Tunakukaribisha uweze kusikiliza maneno matamu na kutazama ili mwisho wa siku ubarikiwe na kupata Neema za Mungu.Huu ni wimbo utakaofanya Mwenyezi Mungu aweze ku Mimina Neema zake kwenye maisha yako kwa kutambua ukuu wa Mungu.
Wasiliana na kwaya kupitia namba: +255 653 082 026 au +255 755 082 026
Wasiliana na RAJO PRODUCTIONS kupitia namba +255 758 988 827
#kwayakatoliki

Видео MBINGU ZILIFANYIKA_Kwaya ya Mt.Agustino_Manundu Korogwe канала RAJO PRODUCTIONS
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
2 января 2020 г. 15:03:00
00:04:55
Яндекс.Метрика