Загрузка страницы

NITAKUTUKUZA MUNGU_by Kwaya ya Mt.Gregory Mkuu, St. John University DODOMA TZ

Huu ni wimbo mmojawapo kati ya nyimbo kumi na mbili zinazounda album inayoitwa NITAKUTUKUZA MUNGU kutoka kwaya ya Mt.Gregory Mkuu ya St.John University - Dodoma Tanzania.

Ni album yenye nyimbo za kumsifu Mungu.
Jipatie nakala yako ya DVD uweze kupata kusikia nyimbo nyingine zilizomo ndani ya Album hii.

Wasiliana nao leo kwa simu namba +244 652 060 267 au +255 763 021 020
Tumsifu Mungu kwa pamoja, Tumtukuze Mungu kwa pamoja.

Mungu tunakuomba uendekee kutubariki, Tuyasikie Maneno matamu ya waimbaji hawa, Kisha Mimina Neema zako kwetu, Tulishike neno lako, tufuate mafundisho ya Mwana wako Yesu Kristo, tuzijue Habari za Yesu.

#kwayakatoliki

Видео NITAKUTUKUZA MUNGU_by Kwaya ya Mt.Gregory Mkuu, St. John University DODOMA TZ канала RAJO PRODUCTIONS
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
3 июля 2017 г. 23:49:31
00:08:54
Яндекс.Метрика