Загрузка страницы

NAMPENDA MUNGU ( Official video ) KWAYA YA MT. MARIA, PAROKIA YA MT. MARIA NGUDU KWIMBA - MWANZA

Nampenda Mungu,
kwa moyo wangu wote,
mimi,
kwa akili yangu,
nauweza wangu wote. X 2

Nampenda MUNGU,
amenitendea makuu
yasiyoweza hesabika,
nampenda.... X 2

UMPENDE MUNGU,
KWA MOYO WAKO WOTE,
KWA AKILI ZAKO ZOTE,
NI AMRI YA MUNGU.

Nampenda Mungu,
kwa moyo wangu wote,
mimi,
kwa akili yangu,
nauweza wangu wote.X 2

Nampenda MUNGU,
amenitendea makuu
yasiyoweza hesabika,
nampenda....X 2

MPENDE NA JIRANI,
KAMA UNAVYO JIPENDA,
KWANI YESU ALISEMA,
NI AMRI YA MUNGU.

Nampenda Mungu,
kwa moyo wangu wote,
mimi,
kwa akili yangu,
nauweza wangu wote.X 2

Nampenda MUNGU,
amenitendea makuu
yasiyoweza hesabika,
nampenda.... X 2

UPENDO WA MUNGU,
KWETU SISI WANADAMU,
HAUNA MIPAKA KWETU,
MUNGU TUKAMPENDE

Nampenda Mimi,
Nampenda Mungu,
katika mambo yote,
yeye kimbilio..

tumsangilie,
leo tukampe sifa Mungu,
tupige makofi,
leo tukampe sifa Mungu,
kwa vigelegele,
leo tukampe sifa Mungu..

Видео NAMPENDA MUNGU ( Official video ) KWAYA YA MT. MARIA, PAROKIA YA MT. MARIA NGUDU KWIMBA - MWANZA канала HOLY TRINITY STUDIOS
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
27 июля 2020 г. 19:59:15
00:06:05
Яндекс.Метрика