Загрузка страницы

NIKUSHUKURUJE BWANA - MSOKA'S FRIENDS { Official video }

SONG LYRICS
SWAHILI & ENGLISH

Nikushukuruje Bwana
How should I thank you Lord?

Ee Mungu wangu nakushukuru
Oh my God, I thank you
umenitendea mema mengi Bwana
You have been so good to me, Lord
asante asante
thank you
Mungu wangu nashukuru
My God, I thank you
Ee Mungu wangu nakushukuru
Oh my God, I thank you
umenitendea ukarimu Bwana
you have been generous to me, Lord
asante asante
Thank you
Mungu wangu nashukuru
My God, I thank you.

Mungu wangu, Bwana wangu, ninakushukuru sana
Oh Lord, my God, I thank you enormously
kwa upendo na wema wako Bwana
for your love and kindness, Lord
sijui mimi nikushukuruje Bwana
I wonder how amply I should thank you Lord
kadiri ya wingi wa ukarimu wako Bwana
for the greatness of your generosity, Lord
Mungu wangu, Bwana wangu, ninakushukuru sana
Oh Lord, my God, I thank you enormously
kwa upendo na wema wako Bwana
for your love and kindness, Lord
sijui mimi nikushukuruje Bwana
I wonder how amply I should thank you Lord
kadiri ya wingi wa fadhili zako Bwana
for the greatness of your kindness, Lord!

1. Bwana Mungu wangu, Mungu wa Abraham
Lord my God, God of Abraham
uliyegawanyisha bahari ya Shamu, wana wa Israeli wakavuka salama
He who divided the Red Sea, made the Israelites cross safely
umedhihirisha wema wako kwangu Bwana
you have revealed your goodness unto me, oh Lord!

2. Unaninyeshea mvua ya Baraka
You keep me showered with blessings
na kuniangazia nuru ya uso wako
and shine upon me the light of your countenance
umenizungushia nyimbo za ushindi
you have surrounded me with songs of victory
wema wako kwangu hauna kipimo Bwana
your goodness to me is infinite, oh Lord!

3. Umenijalia familia bora
You have blessed me with a great family
ilojaa upendo na moyo wa Imani
full of love and a heart of faith
umenizawadia na marafiki wema
you have gifted me good friends
wanishikao mkono kwa upendo Bwana
who lovingly hold my hand, oh Lord!

4. Siku zote Bwana unanilinda vema
Lord, you always protect me well
chini ya mbawa zako Bwana niko salama
In the shadow of your wings oh Lord, I take refuge
nikukoseapo Bwana wanisamehe
whenever I sin against you Lord, you have been merciful to forgive me
na kunirejesha kwako kwa upole Bwana
and restore me to your good paths tenderly, oh Lord!

Видео NIKUSHUKURUJE BWANA - MSOKA'S FRIENDS { Official video } канала HOLY TRINITY STUDIOS
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
5 октября 2020 г. 22:18:25
00:08:12
Яндекс.Метрика