Загрузка страницы

MANENO MATAMU_Kwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria_Unga Limited - Arusha

Maneno Matamu, ni wimbo Maalum wa ndoa ulioimbwa na kwaya ya Moyo safi wa Bikira Maria - Unga Limited Arusha. Wimbo huu uliotungwa na Ndg. Hendry P. Kimario, upo kwenye album inayoitwa Pindo la Uzima. Wanakwaya hawa wanakukaribisha kusilikiza na kuutazama wimbo huu.

Huu ni wimbo bora kabisa miongoni mwa Nyimbo za ndoa Katoliki.

This is a Catholic Swahili wedding Song. You are invited to watch and listed to the beautiful melodies from this choir, one among the best choirs in Tanzania.

Tuendelee kufurahia Muziki wa kanisa katoliki, Muziki unaohusu Habari za Yesu na maisha ya Ukristo kwa ujumla.

iwapo ungependa kuwa wakala wa kuisambaza album hii, fanya mawasiliano kupitia namba +255 762 749 638 au +255 623 983 469

#kwayakatoliki

Видео MANENO MATAMU_Kwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria_Unga Limited - Arusha канала RAJO PRODUCTIONS
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
15 июня 2019 г. 15:59:02
00:09:24
Яндекс.Метрика