Загрузка страницы

Nitakwenda Mimi Mwenyewe | Sauti Tamu Melodies | wimbo wa Sadaka/Matoleo

Nitakwenda Mimi mwenyewe nikatoe sadaka kwa Bwana
Aliyeniumba mimi hadi nikapendeza
Kaniumba kwa mfano wake kuliko viumbe vingine na sasa nikatoe shukrani
Mtunzi: I Myaga

Mtayarishaji: Martin Mutua Munywoki
Tazama pia Twimbe kwa shangwe na furaha, Bwana ametufanyia makuu - Bibiana Munini pamoja na Nimeahidi Yesu. Sasa zimo humu

#SautiTamu #SautiZaKuimba #Zilipendwa
Nyimbo nyingine za sadaka maarufu ni pamoja na Nikupe Nini Mungu wangu cha kukupendeza, Sasa wakati umefika, Tazama Bwana tunakuja kwako, Vipaji hivi ni kama dhabihu, sadaka yangu kwako ee Mungu, Utukuzwe ewe Baba Mungu utukuzwe, Mungu Baba pokea sadaka yetu leo, nitakwenda mimi mwenyewe na Sala yangu na ipae mbele yako

Видео Nitakwenda Mimi Mwenyewe | Sauti Tamu Melodies | wimbo wa Sadaka/Matoleo канала Sauti Tamu
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
30 сентября 2020 г. 0:48:37
00:06:11
Яндекс.Метрика