Загрузка страницы

Nikupe Nini Mungu Wangu | B. A. Lukando | Wimbo wa matoleo/sadaka | Sauti Tamu

Nikupe nini Mungu wangu, nikupe nini we Mwokozi, nikupe nini Bwana wangu cha kukupendeza?
Ninakuomba Mwokozi, nifanyie msamaha na unipokee
Mema unayoyatenda, nitafanya nini mimi, nikurudishie.

Waimbaji kutoka St. Paul's Catholic Chapel, University of Nairobi

Mtunzi: Basil A Lukando

Mtayarishaji: Martin Mutua Munywoki

Nyimbo nyingine za sadaka maarufu ni pamoja na Sasa wakati umefika, Tazama Bwana tunakuja kwako, sadaka yangu kwako ee Mungu, nitakwenda mimi mwenyewe na Sala yangu na ipae mbele yako

#SautiTamu #Zilipendwa

Видео Nikupe Nini Mungu Wangu | B. A. Lukando | Wimbo wa matoleo/sadaka | Sauti Tamu канала Sauti Tamu
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
11 сентября 2020 г. 14:57:13
00:06:32
Яндекс.Метрика