Загрузка страницы

Sasa Wakati Umefika | Basil A. Lukando | Sauti Tamu Melodies | wimbo wa matoleo/sadaka

waimbaji ni baadhi ya alumni, Chuo Kikuu cha Nairobi

Sasa wakati umefika wa kushika nilicho nacho
Kwa wema niende kwa Mungu nitoe zawadi
Sasa wakati umefika kwenda mbele za Mungu wangu
Aone nilivyoandaa zawadi ya leo
Nitamwambia Bwana pokea, hiki kidogo nilicho nacho
Kwani Mungu wewe wanijua, mimi siwezi hata kueleza
Nakusihi sana Baba unipokee
Nigawie na baraka niwe salama

Huu ni wimbo wa zamani wa sadaka na matoleo/vipaji unaoimbwa sana katika misa na kwaya mbalimbali za Kikatoliki Kenya na Tanzania.
Walioimba ni baadhi ya alumni wa University of Nairobi
%St. Paul's Catholic University Chaplaincy.

#SautiTamu #Zilipendwa

Ili kupata nyimbo nyingine za zamani kama vile Watumishi wake Baba, Tazama Bwana Tunakuja kwako, Misa ya Mt Anna ya Fr. Kayeta, na nyinginezo zenye umaarufu subscribe channel hii kwani nyingi zaja. Utapata pia msisimko wa sifa na nitakutukuza Mungu.

Fuatilia pia channel ya Rajo Production, Holy Trinity Studios, Tanganyika productions kupata nyimbo nyingine za kwaya Katoliki Afrika Mashariki zikiwemo mimina neema maneno matamu wimbo ulio bora Bwana unibadili na neema ya Mungu.

Nyimbo nyingine za sadaka zinazojulikana sana ni Sadaka yangu kwako ee Mungu, Nikupe nini Mungu wangu cha kukupendeza, sasa ndio wakati, na Beba mikononi

sasa wakati umefika catholic song

Видео Sasa Wakati Umefika | Basil A. Lukando | Sauti Tamu Melodies | wimbo wa matoleo/sadaka канала Sauti Tamu
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
6 августа 2020 г. 0:13:06
00:06:17
Яндекс.Метрика