Загрузка страницы

Maporomoko ya ardhi Kimende, kaunti ya Kiambu

Ili kutoa nafasi kwa juhudi za uokoaji kuwatafuta watu watatu wanaodhaniwa wamefukiwa kwenye maporomoko ya udongo yaliyotokea katika eneo la Matathia eneo bunge la Kimende Lari, barabara ya Kimende Matathia imefungwa kwa muda. Wenyeji waliripoti kuwa jana saa nane mchana, kuwa watu walioathirika hawakuweza kukimbia tukio hilo la kusikitisha, ambalo lilizua hofu na wasiwasi. Juhudi za kutafuta miili inayodhaniwa kusalia ndani ya udongo kwenye eneo la ukubwa wa ekari moja inaongozwa na kundi la kukabiliana na majanga ya kaunti. Gavana Kimani Wamatangi wa Kaunti ya Kiambu amewataka watu kuwa waangalifu ili kuepuka maafa zaidi ya mvua na mafuriko. Brenda wanga anaungana nasi kwa njia ya simu kutoka Kimende.

Видео Maporomoko ya ardhi Kimende, kaunti ya Kiambu канала Citizen TV Kenya
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
15 мая 2024 г. 15:09:42
00:03:58
Яндекс.Метрика