Загрузка страницы

Walimu wa sekondari msingi wanaendeleza maandamano

Walimu wa sekondari msingi katika kaunti ya Samburu wamefanya maandamano mjini Maralal, hadi katika afisi ya tume ya walimu tawi la Samburu kushinikiza tume hiyo kuheshimu uamuzi wa mahakama wa kuwapa ajira za kudumu. Walimu hao wameapa kutatiza masomo shuleni Hadi pale matakwa Yao yatakapotekelezwa. Mwanahabari wetu Bonface Barasa anaarifu zaidi.

Видео Walimu wa sekondari msingi wanaendeleza maandamano канала Citizen TV Kenya
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
17 мая 2024 г. 15:10:16
00:03:25
Яндекс.Метрика