- Популярные видео
- Авто
- Видео-блоги
- ДТП, аварии
- Для маленьких
- Еда, напитки
- Животные
- Закон и право
- Знаменитости
- Игры
- Искусство
- Комедии
- Красота, мода
- Кулинария, рецепты
- Люди
- Мото
- Музыка
- Мультфильмы
- Наука, технологии
- Новости
- Образование
- Политика
- Праздники
- Приколы
- Природа
- Происшествия
- Путешествия
- Развлечения
- Ржач
- Семья
- Сериалы
- Спорт
- Стиль жизни
- ТВ передачи
- Танцы
- Технологии
- Товары
- Ужасы
- Фильмы
- Шоу-бизнес
- Юмор
Shirika la Kenya Red Cross yatoa vifaa vya kukabiliana na Ebola mpakani Busia
Huku serikali ikiendelea kujitahidi kukabiliana na msambao wa virusi vya Ebola nchini, Shirika la Kenya Red Cross limetoa ufadhili wa vifaa vya kukabiliana na maambukizi ya virusi hivyo katika mpakani wa Busia. Afisa wa Shirika hilo kaunti ya Busia Maurice amebaini kuwa Busia iko katika hatari kubwa ya maambukizi ya Ebola kwa kuwa mpakani, huku akihimiza wakaazi kudumisha usafi na kufahamu dalili za ugonjwa huo. Naye Mkurugenzi wa afya ya Umma, Lok Joseph Oprong’ ameshukuru kwa vifaa hivyo vitakavyosaidia madaktari katika kudhibiti na Ebola eneo hilo.
Видео Shirika la Kenya Red Cross yatoa vifaa vya kukabiliana na Ebola mpakani Busia канала Undugu TV
Видео Shirika la Kenya Red Cross yatoa vifaa vya kukabiliana na Ebola mpakani Busia канала Undugu TV
Комментарии отсутствуют
Информация о видео
15 июня 2026 г. 20:21:50
00:01:29
Другие видео канала





















