- Популярные видео
- Авто
- Видео-блоги
- ДТП, аварии
- Для маленьких
- Еда, напитки
- Животные
- Закон и право
- Знаменитости
- Игры
- Искусство
- Комедии
- Красота, мода
- Кулинария, рецепты
- Люди
- Мото
- Музыка
- Мультфильмы
- Наука, технологии
- Новости
- Образование
- Политика
- Праздники
- Приколы
- Природа
- Происшествия
- Путешествия
- Развлечения
- Ржач
- Семья
- Сериалы
- Спорт
- Стиль жизни
- ТВ передачи
- Танцы
- Технологии
- Товары
- Ужасы
- Фильмы
- Шоу-бизнес
- Юмор
Katibu Mkuu wa COTU atetea haki za wafanyakazi na usawa wa maslahi yao
Katibu Mkuu wa Muungano wa Vyama vya Wafanyakazi nchini (COTU), Francis Atwoli, auunga mkono uamuzi wa mahakama unaopiga marufuku ubaguzi kati ya wafanyakazi wa kudumu na wale wa vibarua wanaotekeleza majukumu sawa .Atwoli amekashifu baadhi ya kampuni za kibinafsi na mawakala wa ajira kwa kuwatumia wafanyakazi kama bidhaa na kwa kuwalipa nusu ya mishahara ikilinganishwa na wenzao wenye elimu na majukumu sawa . Atwoli amesisitiza kuwa uamuzi huo wa mahakama itasaidia vyama vya wafanyakazi kushinikiza uwepo wa mazingira ya haki na usawa kazini.
Видео Katibu Mkuu wa COTU atetea haki za wafanyakazi na usawa wa maslahi yao канала Undugu TV
Видео Katibu Mkuu wa COTU atetea haki za wafanyakazi na usawa wa maslahi yao канала Undugu TV
Комментарии отсутствуют
Информация о видео
7 ч. 18 мин. назад
00:01:32
Другие видео канала




















