Загрузка...

Polisi wasema kamera za siri hazikumtambua aliyempiga Masai risasi

Huduma ya Polisi NPS wamepinga ripoti ya mamlaka huru ya uangalizi wa polisi IPOA kuhusu mshukiwa halisi wa mauaji ya kijana Rex Masai aliyeaga kwa kupigwa risasi mwaka 2024.

Wamebaini kuwa IPOA hawakuchambua picha za kamera za siri vilivyo katika eneo la tukio hilo, hivyo hazijamtambua aliyempiga Masai risasi

Видео Polisi wasema kamera za siri hazikumtambua aliyempiga Masai risasi канала Undugu TV
Яндекс.Метрика
Все заметки Новая заметка Страницу в заметки
Страницу в закладки Мои закладки
На информационно-развлекательном портале SALDA.WS применяются cookie-файлы. Нажимая кнопку Принять, вы подтверждаете свое согласие на их использование.
О CookiesНапомнить позжеПринять