Загрузка...

Kenya badi ipo hatarini katika msambao wa Ebola, serikali yaweka mikakati

Taifa la kenya lingali kwenye hatari ya msambao wa virusi vya ebola, ugonjwa ambao umeuwa watu 141 katika mataifa ya DRC na Uganda kufikia sasa. Akizungumza kwenye mkutano wa kila wiki wa idara za wizara ya afya, katibu wa idara ya afaya ya umma Mary Muthoni amesema kuwa serikali imeweka mikakati kabambe ya kuzuia ugonjwa huo kuingia humu nchini.

Видео Kenya badi ipo hatarini katika msambao wa Ebola, serikali yaweka mikakati канала Undugu TV
Яндекс.Метрика
Все заметки Новая заметка Страницу в заметки
Страницу в закладки Мои закладки
На информационно-развлекательном портале SALDA.WS применяются cookie-файлы. Нажимая кнопку Принять, вы подтверждаете свое согласие на их использование.
О CookiesНапомнить позжеПринять