Загрузка страницы

Misingi ya Hisabati | Hesabu na Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa Kiswahili

Jifunze au jikumbushe misingi ya hisabati kama kutoa na kujumlisha desimali kupitia hii video kutoka katuni ya Ubongo Kids!

Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani!

Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo!

Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi!

Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule!

Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia: http://www.ubongokids.com

Видео Misingi ya Hisabati | Hesabu na Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa Kiswahili канала Ubongo Kids Kiswahili
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
24 января 2018 г. 19:00:06
00:28:39
Яндекс.Метрика