Загрузка страницы

Re-upload: Upweke Unauma | Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa Kiswahili

Ubongo Kids Webisode 29 - "Upweke Unauma" - the Tanzanian animated cartoon series as seen on TBC1!

Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo!

Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya Akili and Me inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule!

Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia:

https://www.ubongokids.com
https://www.facebook.com/ubongokids/

Created by Ubongo, the Tanzanian social enterprise that entertains kids to learn and love learning!

https://www.ubongo.org

Made possible by the Human Development Innovation Fund, funded by UKAid.

#UbongoKids #SwahiliCartoons #Jifunza

Видео Re-upload: Upweke Unauma | Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa Kiswahili канала Ubongo Kids Kiswahili
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
12 декабря 2018 г. 18:03:47
00:25:43
Другие видео канала
Episode 5 Bora za Ubongo Kids Msimu wa Tatu | Katuni za Elimu kwa KiswahiliEpisode 5 Bora za Ubongo Kids Msimu wa Tatu | Katuni za Elimu kwa KiswahiliUbongo Kids Webisode 29 - Upweke Unauma - Uzito na UjazoUbongo Kids Webisode 29 - Upweke Unauma - Uzito na UjazoUbongo Kids Webisode 39 - Kuhesabu kwa Kuruka | Season 3 Ubongo KidsUbongo Kids Webisode 39 - Kuhesabu kwa Kuruka | Season 3 Ubongo KidsWebisode 61: Ushirikiano! | Episode Nzima ya Ubongo Kids | Hadithi za KiswahiliWebisode 61: Ushirikiano! | Episode Nzima ya Ubongo Kids | Hadithi za KiswahiliKuwinda kwa mfupa wa dhahabu | Katuni za kiswahili | Kids Tv Africa | 3d Uhuishaji kwa watotoKuwinda kwa mfupa wa dhahabu | Katuni za kiswahili | Kids Tv Africa | 3d Uhuishaji kwa watotoWATOTO WANGU WEH | Kiswahili Songs for Preschoolers | Na nyimbo nyingi kwa watoto | Nyimbo za KitotoWATOTO WANGU WEH | Kiswahili Songs for Preschoolers | Na nyimbo nyingi kwa watoto | Nyimbo za KitotoNaona Tunu | Ubongo Kids Utu: Watuunganisha Sote | Katuni za KiswahiliNaona Tunu | Ubongo Kids Utu: Watuunganisha Sote | Katuni za KiswahiliVideo za Michezo | Burudika na Ubongo Kids | Hadithi za Watoto kwa KiswahiliVideo za Michezo | Burudika na Ubongo Kids | Hadithi za Watoto kwa KiswahiliMfalme Chura | Frog Prince | Katuni za Kiswahili | Hadithi za Watoto | Swahili Fairy TalesMfalme Chura | Frog Prince | Katuni za Kiswahili | Hadithi za Watoto | Swahili Fairy TalesUbongo Kids Webisode 30 - Rafiki wa Macho - MwangaUbongo Kids Webisode 30 - Rafiki wa Macho - Mwanga4 Character Strengths You Need to Succeed | Ubongo Kids Episode Compilation4 Character Strengths You Need to Succeed | Ubongo Kids Episode CompilationUbongo Kids Webisode 18 - Wakati ni Mali Part 2Ubongo Kids Webisode 18 - Wakati ni Mali Part 2Time to Count! One, two, three! - Educational Songs from Akili and MeTime to Count! One, two, three! - Educational Songs from Akili and MeTufike Pamoja | Ubongo Kids Utu: Uwajibikaji na Ushirikiano wa Kijamii | Katuni za KiswahiliTufike Pamoja | Ubongo Kids Utu: Uwajibikaji na Ushirikiano wa Kijamii | Katuni za KiswahiliPaintball mapambano | 3d Uhuishaji kwa watoto | Kids Tv Africa | Kuchekesha katuni videoPaintball mapambano | 3d Uhuishaji kwa watoto | Kids Tv Africa | Kuchekesha katuni videoRe-upload: Msimbo wa Amani! | Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa KiswahiliRe-upload: Msimbo wa Amani! | Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa KiswahiliWebisode 58: Nataka Kuwa Kama Wewe! | Episode Nzima ya Ubongo Kids | Hadithi za KiswahiliWebisode 58: Nataka Kuwa Kama Wewe! | Episode Nzima ya Ubongo Kids | Hadithi za KiswahiliAkili anapenda Herufi Sh! | Soma Alfabeti na Akili and Me | Katuni za Elimu kwa WatotoAkili anapenda Herufi Sh! | Soma Alfabeti na Akili and Me | Katuni za Elimu kwa WatotoWafanyakazi wa Kokotoa! | Ubongo Kids | Hadithi za KiswahiliWafanyakazi wa Kokotoa! | Ubongo Kids | Hadithi za KiswahiliQuicksand Adventure | 3d Uhuishaji kwa watoto | Kids Tv Africa | Kuchekesha katuni videoQuicksand Adventure | 3d Uhuishaji kwa watoto | Kids Tv Africa | Kuchekesha katuni video
Яндекс.Метрика