Загрузка страницы

Alliance walivyopigwa na Simba 4-1

Mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simba Sports Club, wamezoa alama zote sita jijini Mwanza baada ya leo kuishushia kipigo kizito cha mabao 4-1 Alliance FC katika uwanja wa CCM Kirumba.
Ushindi wa Simba, umepatikana ikiwa zimepita siku tatu tu, tangu waifunge Mbao FC, mabao mawili kwa moja kwenye uwanja huo huo wa CCM Kirumba.
Waliotikisa vyavu leo kwa Simba ni Jonas Mkude, Medie Kagere, Clatous Chama na Hassan Dilunga, huku Alliance FC wikifunga kupitia kwa Israel Patrick Mwenda.
Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa wakati Simba akiwararua Alliance FC.

#SimbaSC #AlliancevSimba #LigiKuuTanzania

ALLIANCE FC 1-4 SIMBA SC | HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (VPL - 19/01/2020)

Видео Alliance walivyopigwa na Simba 4-1 канала Azam TV
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
19 января 2020 г. 23:21:30
00:23:54
Яндекс.Метрика