Загрузка страницы

SIMBA 4-1 YANGA: Watani wa Jadi wakioneshana ubabe wa kupiga pasi ‘laki nane’ – 12/7/2020

Ilikuwa ni show ya kuoneshana ubabe wa kumiliki kabumbu na kupiga pasi ‘laki nane’. Hebu tazama hii burudani, Je, unaona ni timu gani hapa walikuwa mafundi wa kupiga pasi za burudani?

Ni kwenye game ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports #ASFC iliyopigwa jana na Simba kushinda 4-1 dhidi ya Yanga.

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Видео SIMBA 4-1 YANGA: Watani wa Jadi wakioneshana ubabe wa kupiga pasi ‘laki nane’ – 12/7/2020 канала Azam TV
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
13 июля 2020 г. 22:45:50
00:13:20
Яндекс.Метрика