Загрузка страницы

FULL HIGHLIGHTS: SIMBA SC 4 - 2 AZAM FC (NGAO YA JAMII 17/8/2019)

Miamba ya soka nchini Tanzania, Simba SC na Azam FC zimemenyana vikali kwenye mchezo wa kuwania NGAO YA JAMII ikiwwa ni ishara ya ufunguzi wa msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania.

Kwenye mchezo huo uliopigwa kwenye dimba la Taifa jijini Dar es Salaam na kurushwa MBASHARA na #AzamSports2 Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 4-2 huku mabao yake yakifungwa na Shiboub (2) na wengine wakiwa ni Chama na Kahata.

Mabao ya Azam FC yamefungwa na Chilunda na Domayo.

Видео FULL HIGHLIGHTS: SIMBA SC 4 - 2 AZAM FC (NGAO YA JAMII 17/8/2019) канала Azam TV
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
18 августа 2019 г. 1:56:29
00:46:54
Яндекс.Метрика