Загрузка страницы

TAMALAKI - KWAYA YA MT. GREGORY MKUU, CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE.

Hii ni kwaya ya MT. GREGORY MKUU kutoka katika CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE.
TAMALAKI ni moja ya nyimbo iliyomo katika Albamu yenye Nyimbo za kumsifu na Kumtukuza Bwana Mungu wetu.
KARIBU TUUNGANE PAMOJA KATIKA KUUTAZAMA WIMBO HUU.
Unakaribishwa pia kuwa wakala wa Nyimbo zetu, kwa mawasiliano zaidi;
+225735245133 / +255620652793
Unaposikiliza wimbo huu tuombe Mwenyezi MUNGU atujalie daima moyo wa mapendo na daima tuendelee ku TAMALAKI kwa matendo yake makuu.
#kwayakatoliki
#ChuochaKumbukumbuyaMwalimuNyerere
#tmcsmnma
#jaysstudios

MTUNZI; YUSTES SAUTI

ORGANIST: AYUBU MYONGA

Видео TAMALAKI - KWAYA YA MT. GREGORY MKUU, CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE. канала MT.GREGORY MKUU CHUO CHA KUMBUKUMBU MWALIMU NYERERE
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
11 мая 2021 г. 4:06:27
00:10:15
Яндекс.Метрика