Загрузка страницы

#TAZAMA| LANDCRUISER YENYE NAMBA FEKI 'SU' YAKAMATWA WAHAMIAJI HARAMU DODOMA, RPC AELEZA

JESHI La polisi mkoa wa Dodoma limewakata wahamiaji haramu 16 raia wa Ethiopia kwa kosa la kuingia nchini bila kibali pamoja na mtanzania mmoja (38) aliyekuwa akiwasafirisha wahamiaji hao kutoka mkoani Kilimanjaro kwenda mbeya ili kuwavusha mpaka na kuelekea afrika kusini

Wahamiaji hao walikamatwa tar 11 juni mwaka huu katika kizuizi cha polisi katika barabara kuu ya Dodoma –Arusha eneo la wilaya ya chemba mkoani Dodoma kwa kutumia mbinu ya kufunga plate namba ya shirika la umma ambayo ni SU.35970 aina ya LANDCRUISER AMAZONI.

Akitoa taarifa jijini Dodoma na kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma kamishina msaidizi wa polisi ACP Martin Otieno ametoa onyo kwa raia wote ambao wamekuwa wakijihusha na biashara hiyo ya kusafirisha wahamiaji haramu kuacha mara moja

Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: https://www.facebook.com/Spotileo-176...
HabariLeo: https://www.facebook.com/habarileo/
DailyNews: https://www.facebook.com/dailynewstz/

INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...

TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09

Видео #TAZAMA| LANDCRUISER YENYE NAMBA FEKI 'SU' YAKAMATWA WAHAMIAJI HARAMU DODOMA, RPC AELEZA канала Daily News Digital
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
12 июня 2022 г. 18:12:47
00:02:00
Яндекс.Метрика