Загрузка страницы

HII BARABARA INAMALIZA UCHUMI WETU-MAKAMBA

BUMBULI, Tanga: WANANCHI wa Kata ya Mgwashi katika Jimbo la Bumbuli wameiomba serikali kuwajengea miundombinu ya barabara kwa kiwango cha lami kwani walazimika kutumia gharama kubwa ili kufikisha mazao yao sokoni.

Ombi hilo wamelitoa wakati wa mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Rajab Abrahman kusikiliza kero za wananchi uliofanyika katika Kijiji cha Mgwashi Jimbo la Bumbuli chini ya Mbunge, January Makamba.

Naye mwenyekiti huyo akawataka wananchi kuendelea kuwa na imani na chama hicho kuwani wataendelea kuwasema kwa serikali kuhusiana na changamoto zinazowakabili

Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: https://www.facebook.com/Spotileo-176...
HabariLeo: https://www.facebook.com/habarileo/
DailyNews: https://www.facebook.com/dailynewstz/

INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...

TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09

Видео HII BARABARA INAMALIZA UCHUMI WETU-MAKAMBA канала Daily News Digital
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
7 октября 2024 г. 15:23:26
00:04:18
Яндекс.Метрика