Загрузка страницы

KIJITONYAMA UINJILISTI CHOIR | HAKUNA MUNGU KAMA WEWE | SIKU YA MBINGU KUJAA SIFA S01

Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama katika Ibada ya SIKU YA MBINGU KUJAA SIFA Season One, wakiimba wimbo wa HAKUNA MUNGU KAMA YESU.

Siku ya Mbingu kujaa sifa ni Ibada ya Kusifu ambayo inaandaliwa na Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama.

Wasiliana nasi kupitia namba +255 746 440000 ili uweze kujipatia nakala yako sasa kwa Sadaka ya Tsh.10,000 kwa upande wa DVD na Audio CDs ,

Na Tsh30,000 kwa upande wa Kijito Flash inayojumuisha Video pamoja na Audio

Sisi @kijitonyamauinjilistichoir tutahakikisha nakala yako inakufikia popote ulipo ndani ya Tanzania na popote Ulimwenguni ..

@kijitonyamauinjilistichoir
#SikuYaMbinguKujaaSifa
#SingLikeNeverB4
#HakunaMunguKamaWewe

Видео KIJITONYAMA UINJILISTI CHOIR | HAKUNA MUNGU KAMA WEWE | SIKU YA MBINGU KUJAA SIFA S01 канала Uinjilisti Kijitonyama Choir
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
11 ноября 2020 г. 11:00:12
00:09:10
Яндекс.Метрика