Загрузка страницы

KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA | HAKUNA MUNGU KAMA WEWE | OFFICIAL VIDEO

Hakuna Mungu Kama Wewe
Wimbo ambao umepewa kibali na Mungu, kuimbika na kusikilizwa na watu wa kila rika, kila dini, mahali pote duniani, kwa utukufu wa Mungu.

Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama, inawakaribisha wote kuimba kwa kumsifu Mungu kupitia wimbo huu. Iwe katika Furaha, Majonzi na hali yoyote ile, kumbuka HAKUNA MUNGU KAMA YEYE, ANAWEZA.

ANGALIZO:
Mtu yeyote anaruhusiwa kuuimba wimbo huu, bila kuvunja sheria za haki miliki. Lakini zaidi ala na maudhuri ya wimbo huu, yasitumike kwenye ujumbe tofauti na malengo yake. Imba, cheza, sifu lakini tunza maana na makusudi ya ujumbe wa wimbo huu.

Видео KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA | HAKUNA MUNGU KAMA WEWE | OFFICIAL VIDEO канала Uinjilisti Kijitonyama Choir
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
1 января 2021 г. 2:21:34
00:05:52
Яндекс.Метрика