Загрузка страницы

Mgombea huru Feisal Bader ashinda kiti cha ubunge Msambweni

Feisal Abdallah Bader ndie mbunge mteule wa eneobunge la Msambweni baada ya kumpiku Omar Iddi Boga wa chama Odm kwenye uchaguzi uliofanyika hapo jana. Feisal aliyegombea kama mgombea huru alipata uungwaji mkono na mrengo wa tangatanga wa naibu rais William Ruto. Hata hivyo, pindi tu baada ya feisal kutangazwa mbunge mpya, nikupe nikupe ya kisiasa imeonekana kuendelea kushuhudiwa. Francis mtalaki anaarifu kutoka msambweni kaunti ya Kwale.

Видео Mgombea huru Feisal Bader ashinda kiti cha ubunge Msambweni канала Citizen TV Kenya
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
16 декабря 2020 г. 15:32:08
00:03:42
Яндекс.Метрика