Загрузка страницы

Wanafunzi wa shule ya upili ya Kalobeyei waandamana wakilalamikia kuhamishwa kwa mwalimu mkuu

Wanafunzi wa Shule ya upili ya mseto ya Kalobeyei iliyoko eneo la Kakuma eneo bunge la Turkana magharibi,wameandamana na kutembea kilomita thelathini hadi katika afisi ya mkuu wa elimu , wakilalamikia hatua ya tume ya walimu TSC kumhamisha mwalimu mkuu wa shule hiyo

Видео Wanafunzi wa shule ya upili ya Kalobeyei waandamana wakilalamikia kuhamishwa kwa mwalimu mkuu канала Citizen TV Kenya
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
30 августа 2024 г. 15:33:22
00:03:50
Яндекс.Метрика