Загрузка страницы

SIKIA BWANA - KWAYA YA MT KIZITO MAKUBURI | TAMASHA LA STEPHANO DAY BUGURUNI 26 DEC 2019

Karibu mpenzi mtazamaji wa JUGO MEDIA leo tunakuletea Perfomance mbalimbali zilizofanyika katika Tamasha la Stephano Day lililoandaliwa na Parokia ya Mtakatifu Stephano Buguruni. Tamasha hilo lilifanyika tarehe 26 desemba 2019 Buguruni na lilihusisha kwaya mbalimbali kutoka Jimbo kuu la Dar es Salaam, na kwaya hizo ni kama ifuatavyo:-

1. DESPINA
2. Kwaya ya Josephine Bakhita - Pugu
3. Kwaya ya Familia Takatifu - Buguruni
4. Kwaya ya Kizito - Makuburi
5. Kwaya ya Mt. Stephano - Buguruni
6. Kwaya ya Anthony wa Padua
7. Kwaya ya Xavery - Chang’ombe
8. Kwaya ya Vijana
9. Kwaya ya Malaika Gabriel - Segerea
10. Kwaya ya Upendo wa Moyo - Buguruni
11. Kwaya ya Maria Goreth - Mbagala

Mawasiliano:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405

Видео SIKIA BWANA - KWAYA YA MT KIZITO MAKUBURI | TAMASHA LA STEPHANO DAY BUGURUNI 26 DEC 2019 канала Jugo Media
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
30 декабря 2019 г. 21:31:54
00:07:31
Яндекс.Метрика