- Популярные видео
- Авто
- Видео-блоги
- ДТП, аварии
- Для маленьких
- Еда, напитки
- Животные
- Закон и право
- Знаменитости
- Игры
- Искусство
- Комедии
- Красота, мода
- Кулинария, рецепты
- Люди
- Мото
- Музыка
- Мультфильмы
- Наука, технологии
- Новости
- Образование
- Политика
- Праздники
- Приколы
- Природа
- Происшествия
- Путешествия
- Развлечения
- Ржач
- Семья
- Сериалы
- Спорт
- Стиль жизни
- ТВ передачи
- Танцы
- Технологии
- Товары
- Ужасы
- Фильмы
- Шоу-бизнес
- Юмор
03. Jinsi ya Kupokea Data (Scanner Class) | Java OOP Course
Program yako iko kimya? Haiwezi kuongea na user? Kwenye video hii, tunajifunza jinsi ya kufanya program yako iwe "Interactive" kwa kutumia Scanner Class.
Hadi sasa, tumekuwa tukiandika data sisi wenyewe (Hardcoding). Leo, tutatengeneza Simple Calculator ambayo inamruhusu mtumiaji kuingiza namba, na program inafanya mahesabu (Jumla, Zao, na Baki).
Yatakayojadiliwa (Key Takeaways):
👂 Scanner Class: Kuelewa dhana ya Scanner kama "Sikio" la program.
📦 Imports: Kwa nini lazima tuandike import java.util.Scanner;.
➗ Arithmetic Operators: Kujumlisha (+), Kutoa (-), Kuzidisha (*), na Kugawanya (/).
💡 The Modulus (%): Siri ya alama ya asilimia (Baki ya mgawanyo) na umuhimu wake.
⌨️ Input Methods: Tofauti ya nextInt(), nextDouble(), na next().
🚀 Project: Code kamili ya SimpleCalculator.
Homework Challenge: Tengeneza program inayoitwa AgeCalculator.
1️⃣Muulize user: "Ulizaliwa mwaka gani?"
2️⃣Piga hesabu ya kutoa (Mwaka wa Sasa - Mwaka wa Kuzaliwa).
3️⃣Print jibu: "Una miaka [X]". Extra Credit: Iwezeshe program kupokea jina la user na kumsalimia!
🔔 Subscribe kwa mwendelezo wa Java (Next: Control Flow/If Statements)
🔥🎬 ─ Karibu kwenye Channel yangu - Mohamed Hafidh! ─🎬🔥
Hapa tunajifunza na kukua PAMOJA kila wiki kupitia maudhui yatakayokupa maarifa ya kufanya maamuzi sahihi na kufikia malengo yako.
⭐ Tegemea video zilizojikita katika ─ Teknolojia ─ , na mengi zaidi ya kuvutia! 🚀
──
🌟 Lengo langu: Kukusaidia kujifunza, kukua, na kufurahia safari yako ya maarifa. Kila mmoja ana uwezo wa kufanikisha malengo yake! 💪
─ Si video tu. Kila content ni kwa ajili ya kukufanya uwe bora, ujue zaidi, na uweze kushinda katika maisha ya kila siku.
───────
✅ ─Usisahau: ─
👉 ─Subscribe ─ ili upate video mpya kila mara
1️⃣ ─ SUBSCRIBE ─ sasa hivi → https://www.youtube.com/@mohamedhafidh255
🔔 ─ Wash kengele ─ ili usipitwe na updates
2️⃣ ─ WASHA NOTIFICATION ─🔔 (ili upate video zangu KILA NIKITOA)
───────
🔗 ─ Usibaki nyuma! Pata updates za haraka, maswali na majibu (Q&A) na maudhui mengine ya kipekee.
🌐 ─ Ungana nami kwenye mitandao:─
📱 WhatsApp Group: https://chat.whatsapp.com/JNKq7IDzVcU1jVsOI1aiOU
📱 WhatsApp Channel: https://whatsapp.com/channel/0029VadgdJjJUM2b4XVz8Z35
📱 Telegram: https://t.me/mohamedhafidh_tz
📸 Instagram: https://www.instagram.com/mohamedhafidh_tz/
🎥 TikTok: https://www.tiktok.com/@mohamedhafidh_tz
───────
🙏 Asante kwa kuwa sehemu ya community yetu – tunajifunza na kukua pamoja!
#java #oop #jifunzenamohamed
Видео 03. Jinsi ya Kupokea Data (Scanner Class) | Java OOP Course канала Mohamed Hafidh Tz

Комментарии отсутствуют
Информация о видео
27 декабря 2025 г. 22:15:06
00:16:25
Другие видео канала