Загрузка...

17. Iterating Through an Array Katika C++ | Hatua kwa Hatua na Mfano Rahisi Jifunze Programming

Katika video hii, utajifunza jinsi ya kurudia (iterate) kupitia array katika C++ kwa kutumia for loop. Tutaeleza kwa hatua na kuonyesha mfano wa kuchapisha element kutoka kwenye array. Ni somo muhimu kwa mtu yeyote anayetaka kuelewa jinsi ya kufanya kazi na data nyingi kwenye programu zao!

⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐

🎥 Karibu sana kwenye Channel ya Mohamed Hafidh! 🎥

Jina langu ni Mohamed Hafidh, na hapa utajifunza mengi kuhusu: 🔹 Teknolojia
🔹 Afya
🔹 Mazingira
🔹 Sayansi
🔹 Motisha
…na mengine mengi ya kuvutia! 🎉

📌 Lengo langu ni kukusaidia kujifunza na kukua, huku ukifurahia safari yako ya maarifa. Naamini kuwa kila mmoja ana uwezo wa kufikia malengo yake 💪.

🌟 Kumbuka kujiunga nasi! 🌟
👉 Bonyeza kitufe cha Subscribe ili upate video mpya kila mara
👉 Washa kengele 🔔 ili usipitwe na taarifa mpya

🔗 Ungana nami kwenye mitandao ya kijamii kwa updates zaidi:
📱 WhatsApp Channel: https://whatsapp.com/channel/0029VadgdJjJUM2b4XVz8Z35
📱 Telegram Channel: https://t.me/mohamedhafidh_tz
📸 Instagram: https://www.instagram.com/mohamedhafidh_tz/
🎥 TikTok: https://www.tiktok.com/@mohamedhafidh_tz
📺 YouTube: https://www.youtube.com/@mohamedhafidh255/featured

Asante kwa kuwa sehemu ya community yangu! Tunajifunza na kukua pamoja! 🙏

#programming #array #mohamedhafidh_tz

Видео 17. Iterating Through an Array Katika C++ | Hatua kwa Hatua na Mfano Rahisi Jifunze Programming канала Mohamed Hafidh Tz
Яндекс.Метрика
Все заметки Новая заметка Страницу в заметки
Страницу в закладки Мои закладки
На информационно-развлекательном портале SALDA.WS применяются cookie-файлы. Нажимая кнопку Принять, вы подтверждаете свое согласие на их использование.
О CookiesНапомнить позжеПринять