Загрузка...

HABARI : QATAR AIRWAYS YAHAMISHA NDEGE ZAIDI YA 20 KWA AJILI YA HIFADHI.

Shirika la ndege la Qatar Airways limechukua hatua ya kuhamishia zaidi ya ndege 20 katika Uwanja wa Ndege wa Teruel kwa ajili ya kuhifadhi.

Hatua hiyo imechukuliwa kufuatia kuongezeka kwa hatari za kiusalama katika eneo la Mashariki ya Kati kutokana na mvutano unaohusisha Iran.

Uamuzi huo unalenga kulinda rasilimali muhimu za shirika hilo, kupunguza gharama za uendeshaji pamoja na kuendana na mahitaji halisi ya safari katika kipindi hiki cha taharuki.

#pakua app ya Open Media kupata habari na kusikiliza Open Online Radio

#follow, comment na ku like post za Open Online Media ili uwe wa kwanza kupata habari

#openforeveryone
#openmediaupdates
#openmediahouse

Видео HABARI : QATAR AIRWAYS YAHAMISHA NDEGE ZAIDI YA 20 KWA AJILI YA HIFADHI. канала open online media
Яндекс.Метрика
Все заметки Новая заметка Страницу в заметки
Страницу в закладки Мои закладки
На информационно-развлекательном портале SALDA.WS применяются cookie-файлы. Нажимая кнопку Принять, вы подтверждаете свое согласие на их использование.
О CookiesНапомнить позжеПринять