Загрузка...

Serikali imewataka Waganga wa Afya na Wafawidhi kutekeleza sera ya Afya ya mwaka 2007.

Serikali imewataka Waganga wakuu wa Mikoa, Wilaya na Waganga Wafawidhi kutekeleza sera ya Afya ya mwaka 2007 inayoelekeza kutoa matibabu bure kwa makundi maalum.

Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Florence Samizi leo Bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Ukonga Mhe. Bakari Shingo aliyehoji juu ya utekelezaji wa utoaji wa huduma za matibabu bure kwa Wajawazito, Watoto na wazee.

#dodoma #bungeni #tanzania #recent #trending

Видео Serikali imewataka Waganga wa Afya na Wafawidhi kutekeleza sera ya Afya ya mwaka 2007. канала open online media
Яндекс.Метрика
Все заметки Новая заметка Страницу в заметки
Страницу в закладки Мои закладки
На информационно-развлекательном портале SALDA.WS применяются cookie-файлы. Нажимая кнопку Принять, вы подтверждаете свое согласие на их использование.
О CookiesНапомнить позжеПринять