Загрузка страницы

I love you mpenzi Wangu McGarab full video- Catholic wedding Song. Kwaya ya Mt Theresia Matogoro

#mcgarab #catholicsogs #WeddingSongs

See all videos here https://bit.ly/CatholicSongs

MC GARAB tik tok - THE SONG I love you Catholic Song, Mt Theresia Matogoro Songea Tanzania.

I LOVE YOU

Siku tuliyoingoja mimi na wewe,
Kwa uwezo wake mungu leo imefika,
Popote uendapo tutakuwa pamoja
{Mungu ametuunganisha mimi nawe,
nasi wawili tena ni mwili mmoja,
wewe ni wangu kweli
na mimi ni wako njoo,

I love you mpenzi wangu
I need you siku zote I love you) *2

Kwa maombezi yake mama yetu maria,
Ahadi yetu sasa kweli imetimia,
Chaguo la moyo wangu mimi nakupenda,
Tulizo la moyo wangu njoo karibu yangu,
Nimekuchagua wewe wangu wa maisha,
Agizo la moyo wangu njo tujitulize,
Mpenzi wangu nakupenda nawe unipende,
Kwa penzi la raha na karaha tupendane,

Видео I love you mpenzi Wangu McGarab full video- Catholic wedding Song. Kwaya ya Mt Theresia Matogoro канала Rick M Fred
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
25 января 2020 г. 20:08:24
00:05:07
Яндекс.Метрика