Загрузка страницы

SIMBA 1-0 YANGA: Jikumbushe Emmanuel Okwi alivyowaliza Yanga tar 8/3/2015

Machi 8, 2015 ilikuwa ni ‘derby’ ya kiume kwenye Dimba la Taifa Dar es Salaam, ilikuwa ni siku ya Emmanuel Okwi aliyeamua matokeo kwa kuifungia Simba bao pekee kwa shuti la mbali.

Ilikuwa ni mechi ya kibabe ikitawaliwa na rafu nyingi, kadi za njano na kadi nyekundu ikienda kwa Haruna Niyonzima.

Wakati huo Yanga walikuwa na jeuri nje ya uwanja lakini wakakutana na ‘surprise’ kutoka kwa Wanamsimbazi wakiongozwa na Papaa Ivo Mapunda langoni, nyuma ya vijana kama vile Hassan Kessy, Said Ndemla, Abdi Banda, Mohamed Hussein, Hassan Isihaka, Messi, Jonas Mkude, Ibrahim Ajibu na Juuko Murshid.

Je, unapomuona huyu mwamuzi aliyechezesha mchezo huu (Martin Saanya), unakumbuka nini?

Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Видео SIMBA 1-0 YANGA: Jikumbushe Emmanuel Okwi alivyowaliza Yanga tar 8/3/2015 канала Azam TV
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
15 апреля 2020 г. 23:08:11
00:17:18
Яндекс.Метрика