Загрузка страницы

Wakazi wa miji ya Kilifi wataka wapewe chakula na maji

Wakaazi kutoka miji tofauti kaunti ya Kilifi Sasa wanaomba serikali kuwapatia chakula na maji.
Kulingana na Wakaazi hao serikali imekua ikishughulikia maeneo ya mashinani lakini athari za baa la njaa hazichagui miji wala vijiji. Waziri wa ugatuzi kaunti ya Kilifi Gabriel katana anasema watu zaidi ya 148,000 wameathirika .
Hali ya wanafunzi Shuleni kaunti hiyo tayari imebanwa na ukosefu wa chakula na maji huku idadi kubwa ya wanafunzi wakikosa kuhudhuria masomo Shuleni.

Видео Wakazi wa miji ya Kilifi wataka wapewe chakula na maji канала Citizen TV Kenya
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
14 октября 2021 г. 13:24:21
00:02:02
Яндекс.Метрика