Загрузка страницы

Top fry Nakuru all-stars ndio timu inayoshikilia nafasi ya mwisho katika ligi kuu

Safari imekuwa ngumu kwa klabu ya Top fry Nakuru all-stars, timu iliyo na jina refu zaidi katika ligi kuu japo ndio walio na alama chache zaidi na wanashikilia nafasi ya mwisho katika ligi kuu. Kwao mchuano dhidi ya western stima wikendi huenda ukatoa taswira ya jinsi mambo yatakavyokuwa msimu huu. Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live Follow us on http://www.twitter.com/ktnkenya Like us on http://www.facebook.com/ktnkenya

Видео Top fry Nakuru all-stars ndio timu inayoshikilia nafasi ya mwisho katika ligi kuu автора Love and Vehicles
Показать
Страницу в закладки Мои закладки
Все заметки Новая заметка Страницу в заметки