Загрузка страницы

#MadeinTanzania Kiwanda Kinachotengeneza Mabomba (Pipes) za Kisasa

Wiki hii utaweza kujionea kiwanda ambacho kinatengeneza pipe za size zote, katika teknolojia ya High-density polyethylene (HDPE) ambayo inapatikana Tanzania tu kwa upande wa East Africa. Huu ni mbadala tosha katika kutengeneza mabomba makubwa imara yenye teknolojia ya kisasa, ambayo hutumika katika kutengeneza chemba za maji safi na maji taka badala ya zege ambayo inavunjika.

Location: Plasco Limited Tanzania
Plot no 112, Mbozi road, Chang’ombe
Dar es Salaam
+255-22-2199820 ,
+255 717 752 726,
+255 686 350 543
www.plasco.co.tz

Usikose kufuatilia Made in Tz Show katika Clouds TV
Kila Jumatano saa 2 na Nusu Usiku:
Kila Jumapili saa 1 Jioni (Marudio).

SUBSCRIBE CHANNEL HII KUPATA INFOS ZAIDI!!!

Видео #MadeinTanzania Kiwanda Kinachotengeneza Mabomba (Pipes) za Kisasa канала Xtreme Media
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
12 августа 2020 г. 22:30:11
00:26:14
Яндекс.Метрика