Загрузка...

🟥 SAKATA LA GUINEA VS TANZANIA LAIBUKA TENA! 🚨🇬🇳🇹🇿

CAF imetangaza kuwa rufu ya Guinea dhidi ya Tanzania itasikilizwa rasmi Juni 11 saa 5:00 asubuhi katika makao makuu ya CAF jijini Cairo, Misri. 🇪🇬

⚖️ Guinea wanadai kuwa Tanzania ilimchezesha mchezaji asiyejulikana ambaye namba yake ya jezi haikuorodheshwa katika kikosi cha siku ya mchezo dhidi yao Novemba 19, 2024 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.

🗓️ Ingawa awali malalamiko yao yalikataliwa, Guinea walikata rufaa na sasa wanajiandaa kupeleka ujumbe wa watu 20 Misri kwa ajili ya kikao cha kamati ya rufaa ya CAF.

📜 Guinea wametoa tamko rasmi kuthibitisha ushiriki wao kwenye kikao hicho.

Hashtagi:
#afconq2025, #Tanzania, #Guinea, #CAF, #SokaAfrika, #CAFAppeal, #BenjaminMkapa, #HabariZaMichezo, #TimuYaTaifa, #MashindanoYaAFCON, #SakataLaCAF, #CAFDispute
Copyright Disclaimer under section 107 of the Copyright Act 1976 This content may include copyrighted material, the use of which has not always been specifically authorized by the copyright owner. We believe this constitutes a "fair use" of any such copyrighted material as provided for in section 107 of the U.S. Copyright Law. Fair use is a use permitted by a copyright statute that might otherwise be infringing. Non-profit, educational, or personal use tips the balance in favor of fair use. This Video is for purposes such as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship, and research. All rights and credit go directly to their rightful owners. No copyright infringement intended. If you are the owner of any content used in this video and have concerns, please contact us and we will work with you to resolve any issues promptly

Видео 🟥 SAKATA LA GUINEA VS TANZANIA LAIBUKA TENA! 🚨🇬🇳🇹🇿 канала Santa Media
Страницу в закладки Мои закладки
Все заметки Новая заметка Страницу в заметки