Загрузка страницы

Maoni mseto ya wakenya kuhusu kumuondo madarakani Gachagua

Mamia ya wakenya kutoka maeneo ambayo yalikuwa ngome ya upinzani hii leo walijitokeza kuunga mkono mswada wa kumtimua ofisini naibu Rais Rigathi Gachagua. Katika Kaunti za Kisumu, Mombasa, Migori, Homa Bay na Kakamega ambazo awali zilipinga uongozi wa serikali ya Kenya Kwanza, wakazi hii leo walimshutumu Gachagua wakisema masaibu yake ni ya kujitakia.

Видео Maoni mseto ya wakenya kuhusu kumuondo madarakani Gachagua канала Citizen TV Kenya
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
20 ч. 53 мин. назад
00:02:35
Яндекс.Метрика