Загрузка страницы

Botswana kuwa taifa la kwanza Afrika kuandaa mbio za kupokezana kijiti duniani

Mashindano ya riadha ya kupokezana kijiti yataandaliwa barani Afrika kwa mara ya kwanza mwaka ujao. Hayo yanafuatia kongamano la 237 la baraza la shirikisho la riadha duniani lililoandaliwa mjini Nanjing China ambayo liliipa Bostwana hadhi ya uandalizi wa makala ya nane yatakayoandaliwa baina ya tarehe 2 na 3 mwezi Mei mwaka ujao.

Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://bit.ly/2Q3HICf
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news
Check our website: https://www.kbc.co.ke/

#KBCsports #KenyaSports #Sports

Видео Botswana kuwa taifa la kwanza Afrika kuandaa mbio za kupokezana kijiti duniani канала KBC Sports
Показать
Страницу в закладки Мои закладки
Все заметки Новая заметка Страницу в заметки