Загрузка страницы

Meza ya Askofu 25 - Edna Malisa

SHALOM TV ONLINE - EDNA MALISA
MEZA YA ASKOFU WIKI HII
__ Kutoka katika Meza ya Askofu wiki hii, Askofu Sylvester Gamanywa anaendelea na kufundisha kuhusu ujazo wa Roho Mtakatifu pamoja na nguvu zake, ni katika Ukumbi wa Ushauri wa kibiblia na Maombezi, wa BCIC Mbezi Beach, Jogoo, Dsm.
Watu wote mnakaribishwa kwenye ibada ya Jumapili hii, ibada inaanza Saa 4:00 Asubuhi na kumalizika Saa 7:30 Mchana. Watu wote mnakaribishwa wasio na dini na wenye dini, wote mnakaribishwa!.
Youtube: http://www.youtube.com/c/BishopSylvesterGamanywa
Website: http://wapo.or.tz/

Видео Meza ya Askofu 25 - Edna Malisa канала WAPO TV ONLINE
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
6 февраля 2018 г. 8:19:26
00:15:11
Яндекс.Метрика