AJIUA KWA KUJICHOMA MOTO.
AJIUA KWA KUJICHOMA MOTO.Mnamo tarehe 08.11.2021 majira ya saa 03:00 asubuhi huko Kijiji cha Ihombekilichopo Kata ya Utengule Usongwe, Tarafa ya Usongwe, Wilaya ya MbeyaVijijini, Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la MASHAKA SAIMON @YOKONIA [35] Mkazi wa Kijiji cha Ihombe alikutwa ndani ya nyumba yakeakiwa amefariki dunia kwa kuungua moto.
Ni kwamba kabla ya tukio hilo marehemu alikuwa akisumbuliwa na maradhi kwamuda mrefu na alitelekezwa na mke wake hali iliyopelekea kukata tamaa yamaisha na siku chache zilizopita alifanya jaribio la kujilipua kwa Petrol kabla yakuokolewa na mdogo wake. Upelelezi wa shauri hili unaendelea.Aidha ninatoa wito kwa wananchi/jamii kwa ujumla kutoa taarifa za mtu/watuwenye hali ya kukata tamaa ya Maisha kwa viongozi wao wa vijiji, mitaa kabla yakutokea madhara makubwa kama ilivyotokea kwa marehemu MASHAKASAIMON @ YOKONIA
Видео AJIUA KWA KUJICHOMA MOTO. канала MbeyaYetuOnlineTV

Показать
Комментарии отсутствуют
Информация о видео
Другие видео канала
ASKOFU PANGANI AZUNGUMZA KWA MARA YA KWANZA BAADA YA KUSIMIKWA KUWA ASKOFUMREMBO HUYU NI DAKTARI BINGWA MWANAMKE WA KWANZA NCHINI UPASUAJI TEZI DUME,ASIMULIA YANAYOMKUTAPOLISI MBEYA WASIMULIA WALIVYOOKOA MIL 20,MTUHUMIWA AKUTWA DAR ES SALAAMWAZIRI wa Katiba na Sheria, Prof. Kabudi Atembelea Mradi wa Mto KiwiraUWEKEZAJI MWINGINE MAJINJAH KIWANDA CHA KUKAMUA MAFUTA YA ALIZETI KUMALIZA UHABA WA MAFUTA YA KULARAIS SAMIA AGEUKA MBOGO MAUAJI YALIYOFANYWA NA JESHI LA POLISI ''IGP SIRRO AKALIA KUTI KAVU''WALIOUA NAO WAULIWA NA WANANCHI MBEYA,POLISI WATOA TAHADHARI,WANASA GARI LILILOIBIWAMstahiki Meya wa Jiji la Mbeya Mhe. DoorMohamed Issa: Wana Mbeya Tuendelee kumuunga mkono Dkt TuliaHUYU DADA AMEAMUAMAANDALIZI YA MBEYA TULIA MARATHON 2024 YAKAMILIKAMVUTANO WAIBUKA KUUNGUA KWA SOKO LA SIDOMWALIMU WA AGNES AELEZA MAANA YA JINA LA MASOGANGERC RUKWA AKIRI KUWEPO KWA UZEMBE USIMAMIZI UFUATILIAJI UJENZI VITUO VYA AFYAOna Mzungu akiimba wimbo wa kisukumaMAJALIWA AWEKA WAZI''NIDA HAIWEZI KUUNGANISHWA NA RITA MAJUKUMU YAKE HAYALINGANI''Wiki ya huduma kwa Mteja, Mbeya UWSA yaendelea kutoa Elimu kwa Umma Jijini MbeyaRC. Chalamila "ajisalimisha" Hatagombea UbungeWASANII WA BONGO MOVIE WATUA MKOANI MBEYAMUFTI WA TANZANIA SHEIKH ABUBAKAR ZUBEIR ATUNUKIWA NISHANI NCHINI MISRIDC Malisa: Azindua Tulia Street Talent Competition 2024